
Masomo ya Lugha ya Kiswahili
UBC inatoa masomo ya Kiswahili kupitia kozi ASTU 204T. Tazama video iliyo hapa chini ili kujua zaidi, na uangalie ukurasa wao wa taarifa kwa kubofya hapa.
Soma zaidi
Kumbukumbu za Siku ya Jamii ya Kiswahili 2018
Swahili Vision International Association imekuwa ikifanya kazi kwa muda sasa kuileta pamoja jamii ya Kiswahili na wale wanaopenda utamaduni wa Kiswahili.
Soma zaidi
Kipeperushi cha Kiswahili Duniani
Soma zaidi








